PathwayzZote
Member
- Jul 4, 2024
- 65
- 85
Duh ko bora gas ehiyo pcha ya jiko la umeme ni yale ya kizamani sana linakula umeme sana
Ni atareee 🔥Hyo picha ya jikola gesi imenivutiaa jinsi linavyowaka nimetamani mpk kubandikaa hapo ugali alooooo.👍
Induction cooker anamkalisha gasDuh ko bora gas e
Induction cooktop ndio ana compete na GS sio hiyo old fashion hotplateTo the POINTI 👉🏼. Hivi wakubwa
Ukitumia JIKO la gas lile dogo la kujaza 24000. Na ukatumia jiko la umeme dogo kwa unit za 24000 almost 69 units ka sikosei
Ni wapi ni nafuu kwa matumizi ya nyumbani ??
Wajuzi mtupe majibu apa
Ipi bora kiuchumi wetu
🤣🤣Hiyo nimeweka pich tu ngja nitoeJIko la umeme la coil liko vizuri,ilo kwenye picha alili umeme bali linameza.
Sema ni ghaliInduction cooktop ndio ana compete na GS sio hiyo old fashion hotplate
Lini tsh ngap?Sema ni ghali
Gharama sio kulinunua jiko pekee, induction cookers zinachagua sufuria, kwa hiyo ininabidi uweke bajeti ya kununua sufuria kwa kila size ya mapishi unayotaka kupika na, sufuria zake zimechangamka bei pia.Lini tsh ngap?
Bongo wanapiga hadi 150K kwa jiko pekeeLini tsh ngap?
Shida Bongo wanataka Super profit, Bora uagize mwenyewe Uchina......Gharama sio kulinunua jiko pekee, induction cookers zinachagua sufuria, kwa hiyo ininabidi uweke bajeti ya kununua sufuria kwa kila size ya mapishi unayotaka kupika na, sufuria zake zimechangamka bei pia.
Kwa umeme huu wa Tz bora jiko la gas..umeme unaweza kukatika toka alfajir ukarud sa 4 usiku tena siku ya mapumziko ya jumamosi au jumapili ...To the POINTI 👉🏼. Hivi wakubwa
Ukitumia JIKO la gas lile dogo la kujaza 24000. Na ukatumia jiko la umeme dogo kwa unit za 24000 almost 69 units ka sikosei
Ni wapi ni nafuu kwa matumizi ya nyumbani ??
Wajuzi mtupe majibu apa
Ipi bora kiuchumi wetu
Assume umeme hujakatika🙌🏼