Hiyo ndio changamoto kubwa Bongo ila ukitoa hilo la kukatika umeme mbona tunawakalisha hao Taifa GasKwa umeme huu wa Tz bora jiko la gas..umeme unaweza kukatika toka alfajir ukarud sa 4 usiku tena siku ya mapumziko ya jumamosi au jumapili ...
Picha pleaseGharama sio kulinunua jiko pekee, induction cookers zinachagua sufuria, kwa hiyo ininabidi uweke bajeti ya kununua sufuria kwa kila size ya mapishi unayotaka kupika na, sufuria zake zimechangamka bei pia.
Kuna moja nliona wanauza laki 3Lini tsh ngap?
Site gan ya kuagizaBongo wanapiga hadi 150K kwa jiko pekee
Ila ukiagiza haizidi 50K so kwa 150K unapata jiko na Sufuria za kutosha
Anhaaa naelewa apoSwali lako inabidi uliweke vema zaidi..., Ila kiuhalisia Umeme / Kupikia Umeme ni bei rahisi kuliko gesi (kwa gharama za units) sasa inakuja ufanisi wa chombo jiko (mfano ukipika wali kwa rice cooker, kuchemsha maji kwa jug kettle na ukatumia pressure cooker) mambo yanazidi kujipa..., na ukitumia induction cooker ndio umemaliza kabisa
Gharama ya Gesi Vs Umeme katika Kupikia kwa Bei za Sasa za Tanzania
Katika muendelezo wa Makala zangu za Nishati safi ya kupikia; kumekuwa na sintofahamu kuhusu gharama za umeme kwamba ni kubwa sana hivyo kwa kumuwezesha mwananchi ni bora kumpa gesi. Nimeona bora tuangalie ukweli huo kwa kutumia mahesabu yasiyo rasmi.... 1kg ya Gesi = 13.6kwh (units) Kwenye...www.jamiiforums.com
Nishati Safi ya Kupikia, Mwarobaini tunao na ni Bora kuliko Gesi
Baada ya kuona kwenye Habari Serikali imeanzisha Mfuko wa Nishati Safi ya Kupikia nikaona ni vema tuangalie kwa nchi Yetu Nishati hio ni ipi na ni vipi itatufaa, ili tusije kuingia gharama ambazo zitakuwa hazina manufaa kwetu. Nishati zilizopo: Kwenye kila kaya aina ya Nishati inayotumiwa...www.jamiiforums.com
Nishati Safi ya Kupikia: Kwa Kutumia Tariff Zero (100 per Unit) Mpikiaji badala ya kutumia Gesi Ataokoa Tshs 206/= kwa kila unit
Yaani kila mwanakijiji au kama tukiamua wote wawe Tariff Zero kila mwenye Mtungi wa kujaza elfu 25 akienda kununua huyu wa umeme anasave elfu 16 au kwa maana nyingine ni kama mwenye umeme ananunua mtungi wa gesi kwa elfu nane. Hili lipo wazi kabisa swali ni kwamba kwanini kama Taifa tunapigia...www.jamiiforums.com
Picha please
Pinduoduo ndio rahisi zaidi, pia waweza agiza TaobaoSite gan ya kuagiza
Anhaaa ngja nizame gugoPinduoduo ndio rahisi zaidi, pia waweza agiza Taobao
Agent anahusika kiongozi.Anhaaa ngja nizame gugo
Kwan wanakuagizia wenyew au inabd niwe na ajenti wa kuagiza?
Anhaaa shukran mkuuAgent anahusika kiongozi.
unaagizisha then Agent anakuletea tz kwa Ngalawa ndani ya siku 60
Kama unataka usipitie kwa agent Agiza aliexpress itapitia posta au Speedaf ila bei ya motoo