VW All space unyama ni mwingi sana, hata bei zake wanyenge wengi hatuzimudu...Vw all space
Wewe ndo huzimudu wengine ni watoto wa mafisadiVW All space unyama ni mwingi sana, hata bei zake wanyenge wengi hatuzimudu...
Tiguan naikubali Sana mwambie jamaa kama pesa IPO mfukoni avute hiyo gari maana ina kila kitu...
1) 7 speed transmission
2) dsg gear box
3) 4 notion
4) speed 280
Technical issues muwe mnafafanua. Mi hapo sielewi kitu yaani!DSG gearbox bora kabisa sokoni
Sijui km watu wanakuelewa vizuri,
Hiyo ni dual clutch gearbox sio CVT au auto za kawaida ambazo zipo kwenye gali nyingi za mjapan. Hii inafanya inachanganya faster faster kutafuta speed ya juu na ndiyo maana unakuta gari zao zina top speed mpaka 240.T
Technical issues muwe mnafafanua. Mi hapo sielewi kitu yaani!
Angalia jinsi Volkswagen gear level yake inavyokuwa Kwanza ina option ya manual na automatically pia ina sport mode hii ni technology ambayo mjapan hawezi kufanya kwenye gear box moja(dual clutch plates)...Technical issues muwe mnafafanua. Mi hapo sielewi kitu yaani!
Asante mkuu kwa kuchukua muda wako kufafanua. Nimepata mwanga.Angalia jinsi Volkswagen gear level yake inavyokuwa Kwanza ina option ya manual na automatically pia ina sport mode hii ni technology ambayo mjapan hawezi kufanya kwenye gear box moja(dual clutch plates)...
Kama mnafukuzana na Volkswagen dhidi ya Subaru basi tambua kuwa Volkswagen atakuwa anaovertake sehemu ambazo wewe hautaweza huyu mwenzio anaweza akavuka magari Hadi 4 Kwa sekunde 10 Tu.
Hayo magari ya kijerumani usifananishe na wajapan wameachwa mbali Sana kwenye performanceView attachment 2708673View attachment 2708673
Mzee chukua Tiguan hutojuta, Volkswagen inamuacha Subaru ktk nyanja zote. Chukua mjerumani halisi VW