Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Off road propensity hizo gari zote zipo sawa. Nani kakwambia subaru forester ni gari ya off road, haina uwezo wowote wa kuhimili off-road kiasi cha kwamba Tiguan ikashindwa. Nishamiliki forester naijua vizuri huko off road yaitaji uibembeleza sana otherwise uhamue tu kujitoa ufaham ila athari zake huwezi fika mbali utaziona. Swala la reliability ni mindset tu. Boot space kwani unabeba kuni😂Usimdanganye mwenzio, mwambie ni maeneo tiguan inaizidi forester, ila si yote. Mfano tu kwenye suala la off-road ability, tiguan haiwezi kuifuata forester.
Reliability ni eneo jingine Subaru ni afadhali kuliko Tiguan.
Space ndani ya gari na boot, Forester ni zaidi
Off road propensity hizo gari zote zipo sawa. Nani kakwambia subaru forester ni gari ya off road, haina uwezo wowote wa kuhimili off-road kiasi cha kwamba Tiguan ikashindwa. Nishamiliki forester naijua vizuri huko off road yaitaji uibembeleza sana otherwise uhamue tu kujitoa ufaham ila athari zake huwezi fika mbali utaziona. Swala la reliability ni mindset tu. Boot space kwani unabeba kuni[emoji23]
Bro wewe ndio unaongea kwa hisia plus hear say za vijíweni na ndio shida kubwa ya sisi wabongo. Forester haina inachomshinda Tiguan when it comes to off roading, practically hyo forester nishawai kuwa nayo na nishaindesha off road na hiyo Tiguan nishawai kuindesha kwenye njia korofi although haikuwa yangu. Nakubaliana na wewe hapo kwenye boot space kweli forester ina boot space kubwa😂.Sijasema forester ni offroad King, hii ni comparison ya gari hizi mbili. So Kama forester unaibembeleza offroad, VW utaibeba kichwani…
Shida moja kwenye haya majukwaa, mtu akiuliza ushauri technical anapewa hisia badala ya ushauri halisi. Mpaka mtu anasema reliability ni mindset..[emoji2]
Naamini mtoa mada ana akili timamu ndo maana aliomba ushauri jukwaani, na naendelea kumshauri kutokana na vigezo vyake vya mazingira yetu, mafundi na barabara zetu aende na forester. Asifuate wingi wa kura au hisia za watu
Bro wewe ndio unaongea kwa hisia plus hear say za vijíweni na ndio shida kubwa ya sisi wabongo. Forester haina inachomshinda Tiguan when it comes to off roading, practically hyo forester nishawai kuwa nayo na nishaindesha off road na hiyo Tiguan nishawai kuindesha kwenye njia korofi although haikuwa yangu. Nakubaliana na wewe hapo kwenye boot space kweli forester ina boot space kubwa[emoji23].
Kama hivi ndivyo ilivyo ulipata wapi guts za kukosoa mawazo yangu kwa kusema namdamganya mleta mada😀Nilichokisema/kuandika based on my experience kwa kuwa hizo gari zote tajwa nimeziendesha, kama na wewe umeziendesha zote na uka experience tofauti basi ungetoa tu maoni yako pasipo ku crush maoni yangu.Aisee, Hear say za vijiweni..[emoji23]
So ni wewe tu ndo umeendesha subaru na VW, ni wewe tu ndo unazijua na kuziendesha, na una haki ya kuzisemea, kwa sababu sisi wengine, tena usiotujua tuna story za vijiweni na hatujui kitu.
So you think mawazo ya wengine, tena kwa vigezo si bora kuliko yako ya jumla jumla kwamba tiguan imeizidi forester kila kitu (bila hata kujali vigezo vya mtoa mada).
Labda mtoa mada atakuwa kakuelewa, na kama ndivyo inatosha.
SUBARU tunasubiri Mwenezi atangaze Ni gari ya TaifaUsimdanganye mwenzio, mwambie ni maeneo tiguan inaizidi forester, ila si yote. Mfano tu kwenye suala la off-road ability, tiguan haiwezi kuifuata forester.
Reliability ni eneo jingine Subaru ni afadhali kuliko Tiguan.
Space ndani ya gari na boot, Forester ni zaidi
Kama hivi ndivyo ilivyo ulipata wapi guts za kukosoa mawazo yangu kwa kusema namdamganya mleta mada[emoji3]Nilichokisema/kuandika based on my experience kwa kuwa hizo gari zote tajwa nimeziendesha, kama na wewe umeziendesha zote na uka experience tofauti basi ungetoa tu maoni yako pasipo ku crush maoni yangu.
Maoni yangu ni jumuishi kwa vigezo vyote ambavyo mleta mada amevianisha na ata vile ambavyo hajaviainisha kwa maana sijaona ubora wa Forester dhidi ya Tiguan(Maoni yangu) sasa kama wewe uliona Forester ina uafadhari ktk hayo maeneo itoshe kusema hayo ni maoni yako(based on your experience)na sikupingi.Nilicrush maoni ya kwenye eneo moja tu, kwamba VW inaizidi Forester kila kitu, which is a not lie (kama nikijirekebisha), but NOT CORRECT. Nikatoa mfano wa baadhi ya maeneo ambayo hata kabla ya kujibu hoja za mtoa mada, forester ina afadhali kuliko VW.
Na kwa kujibu hoja sasa, nakazia kwamba kauli yako ni ya hisia kwa sababu hata hukuaddress vigezo vya mtoa mada ambavyo ni mazingira yetu, upatikanaji wa mafundi na kipato. Kwa vigezo hivi na uhalisia wa bongo sioni kwa nini VW inamfaa mtoa mada ukilinganisha na Forester.
inategemea unataka nini kwenye gari na gari za mwaka ganiKati ya kluger na Vanguard ipi ni nzuri zaidi?
Utumiaji wa mafuta mfano, upatikanaji wa spea, Uimara wa gariinategemea unataka nini kwenye gari na gari za mwaka gani
Utumiaji wa mafuta mfano, upatikanaji wa spea, Uimara wa gari
Vipi kuhusu ulaji wake wa mafuta?Kama unaishi mjini chukua Vanguard
Kama kijijini (off-road) chukua Kluger