Ipi ni bora kati ya Subaru forester (Isiyo na turbo) na Volkswagen Tiguan, zote za 2010?

Tiguan all day everyday,ninayo mwaka wa 2 sasa naitumia sana offroad (90% ya matumizi yangu) kulingana na mazingira nilipo(mkoa wa rukwa) na hainiletei shida,japo huku niliko spare zote naagiza dar.
Sindikiza na picha
 
Tiguan all day everyday,ninayo mwaka wa 2 sasa naitumia sana offroad (90% ya matumizi yangu) kulingana na mazingira nilipo(mkoa wa rukwa) na hainiletei shida,japo huku niliko spare zote naagiza dar.
well, natamni kupata experience ya hii gari kwa ufupi kaka, changamoto zake ndogondogo pamoja na services. Ahsante
 

Tunazungumzia speed au performance ?....mimi nachofahamu gari zina kitu kinaitwa horse power (hp) subaru kwa mfano zipo aina fulani ya subaru forester za kuanzia mwaka 2013 zinaitwa (subaru forester sjg) hazina pua ila zina turbo zina horse power 280...gear box gani ya tiguan inaeza shinda hii gari ?
 
Torque ndiyo mpango mzima, kwenye gari usiangalie horsepower tu. Torque ni nguvu ya engine kuzungusha matairi from zero,the higher the torque the faster the car. Subaru ina horsepower 280 na Torque kiasi gani?

Hiyo Subaru unayoisema ina CVT gearbox 😔😔,Cvt sio gearbox ya mbio boss. Dual au single clutch ndiyo gearbox za mbio. CVT ni kwa ajili ya fuel economy tu makini performance ni 0. Hiyo Subaru hata kwa VW polo yenye DSG transmission haisogei.
 
Aiseeee ndugu yangu hivi unajua maana ya horse power na torque ratio?
Kumbuka gear box ina maana kubwa Sana kwenye performance, ebu siku moja itafute Volkswagen GTi uliza kuhusu hiyo gari na ukipata majibu utakuja hapa kutoa majibu

Nikirudi kwenye upande wa Subaru forester 2013 haina horse power 280 huo ni uongo na kama ulisimuliwa basi umedanganywa kwelikweli.
Angalia mfano wa land cruiser LC 200( V8) na land cruiser LC 300( V6 engine with 10 speed transmission).
V8 ina horse power kubwa na mashine kubwa lakini kwenye speed anakalishwa kama amesimama na kutokana na LC300 kuwa gear 10 huku V8 ikiwa gear 7
 
Shukran Sana chief Kwa kumpa shule huyo jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…