steve emile
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 231
- 585
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sport, hiyo chini ya mwishon ni nzuri ila tatiz single door.!
Why girl carEvoque is more of girls car.
Vogue is a more of a CCM car.
I'll take Sport, SVR will be better.
Ya iko vizuriRange Rover sport ni gari ya kiume zaidi naikubali
Milango mingi mizur, sio abiria anaingia kwa kuinama ka anaingia kwa mganga.!Milango ming ya nini? hata nlisikiaga kuwa hiyo yaa chini fuel consumption iko poa kidogo, sina uhakika lakini...
Hapana, vogue ndo la kiume zaidiRange Rover sport ni gari ya kiume zaidi naikubali
Shule zimefungwaWatu wa jf skuhiz siwaelew kabisa..dah...ni wimbi la fb nin limehamia huku.
Ndoto za saa sita mchana!😄😄😄Sport
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ucseme ivo, baada ya 5yrs naendesha hiyo ndinga.Ndoto za saa sita mchana![emoji1][emoji1][emoji1]