Ipi ni Combination nzuri?

Ipi ni Combination nzuri?

WE bro vipi bwana, watu wanaoa mtu na si kabila. Hakuna kitu kinachotwa generalization kwenye kuoa chagua mtu ambaye unaona utaendana naye kama yeye na si kabila.
 
Aachana na hiyo kitu ya kuchagua kabila bali penda pale upendwapo na wewe kuridhika nako tu.
 
Back
Top Bottom