M mamakunda JF-Expert Member Joined Jul 4, 2010 Posts 370 Reaction score 16 Feb 12, 2011 #41 WE bro vipi bwana, watu wanaoa mtu na si kabila. Hakuna kitu kinachotwa generalization kwenye kuoa chagua mtu ambaye unaona utaendana naye kama yeye na si kabila.
WE bro vipi bwana, watu wanaoa mtu na si kabila. Hakuna kitu kinachotwa generalization kwenye kuoa chagua mtu ambaye unaona utaendana naye kama yeye na si kabila.
tama JF-Expert Member Joined Dec 15, 2010 Posts 602 Reaction score 71 Feb 12, 2011 #42 Aachana na hiyo kitu ya kuchagua kabila bali penda pale upendwapo na wewe kuridhika nako tu.