Ipi ni hatma ya wachangiaji wa madini kuntu, hadimu, concious na mtambuka

Ipi ni hatma ya wachangiaji wa madini kuntu, hadimu, concious na mtambuka

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Maybe JF has become a circus, na siwezi kumlaumu yoyote maana kila enzi ina hatua yake na kila hatua ina enzi yake.

Sasa sijui ni hali ya kisasa ya hili jukwaa ndio inawakimbiza wachangiaji kuntu au wachangiaji kuntu hao ndio wame switch kuwa walamba lips.

"jinsi ya kutembea na mke wa mtu bila mme wake kujua"
"sexual fantasy yangu ni kuunganisha mama mkwe na mtoto wake"
Hizi ndio nyuzi habari ya mjini 🤣

Anyway maisha yaendelee.
 
Magufuli alilijaza hofu Taifa, JF founder mwenyewe Max alitiwa Lupango Keko, who is safe?
 
Back
Top Bottom