Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Hapati uchungu mkuu??Agakhan kama mkwanja upo mpeleke. Mzazi anajifungua kama hajifungui vile uangalizi ni wa hali ya juuu sana kwa mama na mtoto baada ya kujifungua. Ila ka bill karefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapati uchungu mkuu??Agakhan kama mkwanja upo mpeleke. Mzazi anajifungua kama hajifungui vile uangalizi ni wa hali ya juuu sana kwa mama na mtoto baada ya kujifungua. Ila ka bill karefu
Muhimbili wako vizuri kwenye upande wa kujifungua, kwanza wana vifaa vya kusaidia mtoto kushuka, mwanamke hatumii nguvu nyingi kusukuma. Kama ulivyosema, kwenye afya hakuna haja ya kuwa na mkono mfupi, awapoze kidogo wakunga na manesi atapata huduma first classWife mimba yake ilikua na complications nilizunguka karibia hospital zote za kisasa na nishaonana na specialists wengi sana hapa town kila mmoja alikua anashauri anachojua ila kuna siku nimeenda hospital moja nikakutana na dokta wa muhimbili yuko pale part time tukaongea vingi akaniambia afya ni biashara.
Ninachokushauri nakupa rufaa uende muhimbili ukifika nipigie kweli nikafanya ivo kufika nikampigia yule dokta akaelekeza wenzie pale wife akapokelewa kiukweli alipata huduma ya hali ya juu kuliko hata zile private hospital tulizokua tunalipa pesa nyingi licha ya kuwa na bima, madokta walikua wanamuattend kama mke wa mfalme tukaamua clinic ahamie pale hadi siku ya kujifungua.
Kule kwingine walishauri ajifungue wa upasuaji ila muhimbili walisema hamna haja hiyo, kiukweli mke wangu alijifungua salama kwa huduma sawa au zaidi ya zile private nikapata mtoto wa kike na sasa anamiaka miwili mishaanza mawasiloano tena na yule dokta mwakani tukalete mwingine, ushauri wangu hospital za serikali zina huduma nzuri sana kikubwa jenga connection na usiwe na mkono mfupi wapoze madokta na manesi utafurahia huduma yao.
Uchungu kama kawaaaa.. ila care kidogo inakupozaa.. ila maumivu yapo pale pale... hongera kwa wazaziHapati uchungu mkuu??
Ni kweli iko vizuri mke wangu alijifungua hapoAcha kupoteza pesa huko, hapo Mombasa uelekeo wa Gongolamboto kuna hospital nzuri tu ya akina mama kujifungua inaitwa CADINAL RUGAMBWA HOSPITAL
Hapo umeongea sanaKwani inayomzalisha ni hospitali au mkunga? Omba Mungu akutane na mkunga mwenye busara.Nimtakie kila la kheri kwenye safari yake hiyo.
Acha utani mkuuAgha Khan kawaida 4 Million.
Kwa upasuaji andaa 10 Million.