Ipi ni Hospital nzuri sana kwa wajawazito kujifungua?

Muhimbili wako vizuri kwenye upande wa kujifungua, kwanza wana vifaa vya kusaidia mtoto kushuka, mwanamke hatumii nguvu nyingi kusukuma. Kama ulivyosema, kwenye afya hakuna haja ya kuwa na mkono mfupi, awapoze kidogo wakunga na manesi atapata huduma first class
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…