Ipi ni kampuni nzuri ya kusafirisha mizigo toka China kuja Tanzania?

kida320

Member
Joined
Aug 4, 2024
Posts
6
Reaction score
1
Jamani kwa wale wajasiliamali na wapambanaji hasa wanaoaguza mizigo kutoka china kuja Tanzania ni kampuni ipi ni nzuri kusafilishia mizigo kwa njia ya ndege na bahari.

Wawe waaminifu
 
Silent ocean. Niko na experience yao zaidi ya mara moja wewe sema unachotaka kujua kisha kupitia uzi wako watu wakupe hayo unayoyataka
 
Nnachotaka kujua ni kuwa inshu zote za bandarini wanasimamia wao na mzigo wa looser cargo unachukua siku ngapi hadi kugika Tz na Kama utakuwa na ya kuongezea sawa
 
Ishu zote wao, mzigo wako ni mwezi mmoja ila usisahau kuna clearing inafanyika mizigo yote ikija bongo kwaiyo na hapa weka siku kadhaa
 
Jamani kwa wale wajasiliamali na wapambanaji hasa wanaoaguza mizigo kutoka china kuja Tanzania ni kampuni ipi ni nzuri kusafilishia mizigo kwa njia ya ndege na bahari.

Wawe waaminifu
Kwa meli nenda na silent ocean
 
Ndege watumie yoonek(unique) cargo waponfasta sana wale na meli nenda sioent ocean hao wako fasta huko
 
Silent Ocean vp kuhusu gharama zao, isije ikawa wanatukamua sana.
 
Back
Top Bottom