Ipi ni kampuni nzuri ya kusafirisha mizigo toka China kuja Tanzania?

Ipi ni kampuni nzuri ya kusafirisha mizigo toka China kuja Tanzania?

Kwa meli silent ocean wako Lumumba pale, kwa ndege ,swala cargo walikuwa city mall wamehamia upanga
 
Silent Ocean vp kuhusu gharama zao, isije ikawa wanatukamua sana.
Silent ocean Meli, CBM Moja 400$,
Mo cargo Meli, CBM Moja 350$, ndege 14$ per 1kg
Yoonek cargo Meli CBM Moja 400$, ndege 13.4$ per 1kg

I hope itasaidia kidogo
 
Back
Top Bottom