Ipi ni lubricant nzuri kati ya TOTAL na CASTROL?

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Wakuu habar zenu.
Hivi kati ya lubricant/oil kati ya kampuni ya TOTAL na CASTROL ipi ni nzuri na ipo juu ya mwenzie? Hapo namaanisha quality. Naona watu wengi wanatumia total kuliko castrol.

Ipi ni kampuni nzuri hapo? Karibuni wataalamu.
 
Nafuu Castrol mzee, Hao Total kuna ujanja ujanja mwingi sana. Kuna siku nipo garaje za mwananyamala nikaona kuna dogo anaokota Madumu ya oil ya Total nikauliza ya nn wajuba waksema wanaenda kujaza Oil upya.
 
Aisee hapo watu wengi huwa wanaingia chaka kwa kununua oil kutokana na jina la kampuni badaka ya kuangalia Viscosity need ya Engine yake.

Kimsingi oil zote ni nzuri kuanzia Engen, Total, Castrol l, General nk.

Viscosity ambayo inatambulika kwa namba mfano 5w30, 15w30, 10w40 nakadhalika ndo ina determine bei ya oil.

Soma manual yako ya gari uone engine yake inataka oil namba ngapi halafu uipate ya total ama Engen ama yoyote lita 5 kama halafu usikie bei yake mzee baba. Naamini utazipata kwa kuanzia laki moja na kuendelea. Nazungimzia hivi vi engine vya petrol kama NZ series ama AZ series nk.

Hao Castrol walishaona watu wengi ni washamba na wameninflate sana bei had unauzia Monograde oil ambaye anafaa kutumia mtu wa Sun Lg kwa elfu 60. Wakati wana ya Mult Performance ambayo inatakiwa kuwa juu pia. Ukikuta Multi Performance oil ya hizo kampuni nyingine hupati chini ya elfu 40 pia.

Kuna siku nitaleta somo la Oil za magari humu.
 
Sio mbaya hata laki 2 kwa oil OG natoa
 
Back
Top Bottom