mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 630
- 2,151
- Thread starter
-
- #21
Mechi zote dume , kidogo nisahau hii ya mayakuza "Japan "dhidi ya Belgium kudadaki , Belgium walijuwa itakuwa mteremko ,ila mayakuza walikomaa nao mwanzo mwenga ,ila mwisho wa siku mabwanyenye Belgium waliibuka na ushindi wa 3-2Mechi ya
Brazil vs Egypt 2008 kombe la mabara
France vs Argentina 2022 kombe la Dunia
Liverpool vs Barcelona 2019 semi final UEFA
Senegal vs France 2002 kombe la Dunia
Belgium vs Japan 2018 kombe la dunia
Walijisahau lukaku mtu mbadiMechi zote dume , kidogo nisahau hii ya mayakuza "Japan "dhidi ya Belgium kudadaki , Belgium walijuwa itakuwa mteremko ,ila mayakuza walikomaa nao mwanzo mwenga ,ila mwisho wa siku mabwanyenye Belgium waliibuka na ushindi wa 3-2
Na Jambo Nzuri Zaidi Alibebeka Asee,,Raha Ya Kubeba Kinachohitajika Kubebwa Ni Vyema Mnoo Kiwe Kinabebeka.Hii game baka alibebwa
Na Jambo Nzuri Zaidi Alibebeka Asee,,Raha Ya Kubeba Kinachohitajika Kubebwa Ni Vyema Mnoo Kiwe Kinabebeka.Hii game baka alibebwa
Mechi ya machester utd vs real madrid pale old Trafford, delima anapiga hatrick, redondo anampita hengingberg kimiujiza miujiza tuu.
Beckham kaingia na kupiga bao. Mechi hatari hiyo.
Nyingine ni fainali ya kombe la dunia la wanawake...usa vs japan. Sii mchezo hiyo mechi ilipigwa mbugi hatari. Japan walikuwa na beki wao mmoja kitasa kweli kweli anaitwa Kumagai
Hii ndo mechi Bora hadi dunia inaishaFainali ya UEFA 2005,
AC Milan Vs Liverpool.
Fainali ya UEFA 2005,
AC Milan Vs Liverpool.
Hatari sana majogoo waliwika jioniHii ndo mechi Bora hadi dunia inaisha
Mpira alocheza LAPULGA siku zile haji kucheza tenaaKombe la Dunia 1998 - France vs Brazil
Kombe la Dunia 2006 - France vs Italy
Kombe la Dunia 2022 + France vs Argentina