Nadhani Familia ndio muhimu sababu kazi haitakiwi kua utumwa, kazi inatakiwa ikusaidie ku endelea (personaly) na ku-contribute kwa maisha bora ya familia yako.
Nikiongea kwa mfano, jaribu kufikiria ukipewa hela za kutosha ili wewe na familia yako mhishi :maisha mazuri" (as defined by you). unadhani utafanya kazi kwa masaa ma ngapi kwa siku? kweli kuna kazi unafanya sababu unaipenda kazi yako ila ingekua sio swala la hela tungetumika ma saa 3 kwa siku, mara 2 au mara 3 kwa wiki na he rest of the time tungekua in social things kama familia na marafiki, masafari etc.
Kwangu mimi familia mbele, kazi ni muhimu only if it serves my personal interests and those of my family.