Ipi ni muhimu?

Ipi ni muhimu?

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,153
Reaction score
2,647
Kuna wengine kazi wanasema ni muhimu sana, kuna wengine wanasema familia ni muhimu sana, la mwisho vyote(familia &kazi) ni muhimu. Sasa kama mtu ambaye ameweka kazi kipaumbele zaidi kuliko familia anafaidika nini maishani mwake?
 
Jamani huu sio uchakachuzi kweli? Hapa tuna compare Kazi na familia, wewe unaleta habari za Mume? Mume hahusiki hapa dear
familia! imetajwa katika post!! mume ni miongoni mwa wanafamilia!! sijachakachua sredi yake !!
 
Vyote ni muhimu cha msingi kila kitu kiwe na wakatiwake kwa kuzingatia mgawanyo wa muda!
 
Nadhani Familia ndio muhimu sababu kazi haitakiwi kua utumwa, kazi inatakiwa ikusaidie ku endelea (personaly) na ku-contribute kwa maisha bora ya familia yako.
Nikiongea kwa mfano, jaribu kufikiria ukipewa hela za kutosha ili wewe na familia yako mhishi :maisha mazuri" (as defined by you). unadhani utafanya kazi kwa masaa ma ngapi kwa siku? kweli kuna kazi unafanya sababu unaipenda kazi yako ila ingekua sio swala la hela tungetumika ma saa 3 kwa siku, mara 2 au mara 3 kwa wiki na he rest of the time tungekua in social things kama familia na marafiki, masafari etc.
Kwangu mimi familia mbele, kazi ni muhimu only if it serves my personal interests and those of my family.
 
Kwa wale ambao hawana familia itakuaje?.
 
Familia inatangulia, kazi baadae! Pata baraka za familia kwanza ndipo utapoifurahia hata hiyo kazi yako!
 
Bora kazi.
kama familia ni bora zaidi si watakula dagaa mpaka waipate?
 
mi ni meipa kazi kipaumbele due 2 some reasons but strong reason it gives me some money.nadhani nimekujibu or?

Kwa mtazamo wako umesema kazi ni muhimu, je, siku ukizidiwa labda kiafya na ukalazwa au kiusalama kama vile kesi mahakamani au zaidi ya hapo, inayokuwa karibu na wewe ni kazi au familia?
 
familia! imetajwa katika post!! mume ni miongoni mwa wanafamilia!! sijachakachua sredi yake !!

Mume ni bora kuliko mtoto/watoto? mmh, bora ungesema mume na watoto hapo ningekupa marks kubwa!
 
Asante PM kumbe nawe umeone eeh?

Bombu! Nimeona hilo, familai ni muhimu hata kama ukiumwa na ukalazwa, familia ndo itakayokuuguza na siyo ofisi, ni vizuri kuwa karibu na familia!
 
Back
Top Bottom