Ipi ni njia bora/rahisi, Kuagiza bajaji kutoka Nje au kununua apa Tz

Ipi ni njia bora/rahisi, Kuagiza bajaji kutoka Nje au kununua apa Tz

Kama kichwa cha habari apo kinavyoeleza naombeni ushauri wenu. Nimetembelea mitandao kama Alibaba naona bei zao ni nafuu sana tofauti na bei ya hapa Tanzania.Nini kinafanya watu wakwepe kununua huko na waendelee kununua zinazouzwa na makampuni ya huku kwetu.

Otherwise ni bora bei zingepishana kidogo lkn naona gape kubwa sana ata kama ni gharama za usafirishaji zikiongezwa bado price ya kwetu ipo juu zaidi. Why ?

Mfn; hizi hapa chini
97d2771aff790a506cb3f6cdb8944c42.jpg

01774dda473372477ca4fd328030c629.jpg

cd6f93b4f19e6aff542bec86211e525c.jpg

Mkuu Daviie habari, Je ulifanikiwa kuagiza bajaji tajwa hapo juu. naomba uzoefu wako. KUAGIZA BAJAJI KUTOKA NJE YA NCHI

Ahsante
 
 
Back
Top Bottom