Ipi ni njia bora ya mstaafu kulipwa pensheni yake?

Ipi ni njia bora ya mstaafu kulipwa pensheni yake?

DOMINGO THOMAS

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2023
Posts
368
Reaction score
382
1. Kulipwa Pensheni Nzima (Full Pension) mara moja, bila malipo ya kila mwezi baada ya hapo; au

2. Kulipwa Kiinua Mgongo pamoja na Pensheni ya Kila Mwezi hadi mwisho wa maisha ya mstaafu.
 
Hii imeekaaje mkuu mf mstaafu pension yake ni million 100 akisema apewe yote maana yake hawezi pewa ya Kila mwezi ?
 
Back
Top Bottom