DOMINGO THOMAS JF-Expert Member Joined Feb 16, 2023 Posts 368 Reaction score 382 Feb 8, 2026 #1 1. Kulipwa Pensheni Nzima (Full Pension) mara moja, bila malipo ya kila mwezi baada ya hapo; au 2. Kulipwa Kiinua Mgongo pamoja na Pensheni ya Kila Mwezi hadi mwisho wa maisha ya mstaafu.
1. Kulipwa Pensheni Nzima (Full Pension) mara moja, bila malipo ya kila mwezi baada ya hapo; au 2. Kulipwa Kiinua Mgongo pamoja na Pensheni ya Kila Mwezi hadi mwisho wa maisha ya mstaafu.
hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 6,853 Reaction score 4,552 Jun 3, 2026 #2 Hii imeekaaje mkuu mf mstaafu pension yake ni million 100 akisema apewe yote maana yake hawezi pewa ya Kila mwezi ?
Hii imeekaaje mkuu mf mstaafu pension yake ni million 100 akisema apewe yote maana yake hawezi pewa ya Kila mwezi ?