1Waungwana naombeni mnisaidie, je ni ipi njia bora ya kuanza ujenzi wa nyumba endapo tayari una kiwanja kati ya hzi zifuatazo:
1. Kumtafta surveyor wa ku survey eneo la kiwanja na ku design nyumba kulingana na eneo lilivo, na gharama za kumlipa huyo surveyor zipoje
au
2. Kununua ramani ya nyumba na kumtafta fundi ujenzi aanze ujenzi kweny eneo ulilojenga
Naomben ushauri wenu kwenye hili maana nna kiwanja tayari nataka nianze ujenzi January mwaka mungu akipenda
Option #2Waungwana naombeni mnisaidie, je ni ipi njia bora ya kuanza ujenzi wa nyumba endapo tayari una kiwanja kati ya hzi zifuatazo:
1. Kumtafta surveyor wa ku survey eneo la kiwanja na ku design nyumba kulingana na eneo lilivo, na gharama za kumlipa huyo surveyor zipoje
au
2. Kununua ramani ya nyumba na kumtafta fundi ujenzi aanze ujenzi kweny eneo ulilojenga
Naomben ushauri wenu kwenye hili maana nna kiwanja tayari nataka nianze ujenzi January mwaka mungu akipenda
Hahahahaha,Jenga kwa force account yako mwenyewe.
Surveyor wa nini wakati haujengi gorofa.
Mm nakushauri tafuta mwana Architecture mzuri mwenye gharama nafuu, makadirio 250000-300000/= Tsh hapo ata design raman kulingana na eneo lako ata àkufanyia na BOQ (akijiongeza)Ahsanteni sana kwa ushauri wenu