Ipi ni njia nzuri ya kutunza carrots na hoho nyumbani ili zisiharibike

Don Buyoya

Member
Joined
Jun 13, 2024
Posts
78
Reaction score
261
Nina health issue inayonihitaji kula carrot, hoho, vitunguu na spinach on daily basis kama dawa, aidha vibichi, kwenye juisi au vipikiwe ila visiive sana. Lakini napata challenge kutunza hoho na carrot. Spinach hazina shida sababu niliweka kabisa bustani ila hoho na karrot ulimaji wake kinyumbani ni mgumu ndio maana nanunua in bulk kisha kutunza kwenye friji.

Changamoto ninayopata ni zinaharibika sana, yaan hamna tofauti kuziweka kwenye friji au kuziacha nje sababu kote kote tu zinaharibika kwa kutepeta tepeta hivi. Kununua chache ni usumbufu sana ukizingatia ratiba ya kuzitumia.

Wataalam wa jf naombeni somo hapa, nifanyeje niweze kuzitunza zisiharibike, kiasi ninachonunua ni aidha sado 1 hadi 2 kwa carrot na hoho ni karibia sado moja.
 
Nina health issue inayonihitaji kula carrot, hoho, vitunguu na spinach on daily basis kama dawa, aidha vibichi, kwenye juisi au vipikiwe ila visiive sana. Lakini napata challenge kutunza hoho na carrot. Spinach hazina shida sababu niliweka kabisa bustani ila hoho na karrot ulimaji wake kinyumbani ni mgumu ndio maana nanunua in bulk kisha kutunza kwenye friji.

Changamoto ninayopata ni zinaharibika sana, yaan hamna tofauti kuziweka kwenye friji au kuziacha nje sababu kote kote tu zinaharibika kwa kutepeta tepeta hivi. Kununua chache ni usumbufu sana ukizingatia ratiba ya kuzitumia.

Wataalam wa jf naombeni somo hapa, nifanyeje niweze kuzitunza zisiharibike, kiasi ninachonunua ni aidha sado 1 hadi 2 kwa carrot na hoho ni karibia sado moja
nunua tu kiasi kidogo cha kufanya zisikae muda mrefu na kuharibika

hata hivyo,
zikiwa nzima zisizo na demages yoyote ukiziweka huru kwenye ungo mkavu zinaishi humo vizuri tu kwa kipindi kirefu bila tatizo lolote 🐒
 
Zisafishe carrots zako ili kuondoa yale maji "Moisture'' kisha zifunge hizo Carrots kwa kutumia Absorbent Paper ''paper towel'' Kuna karatasi hua zinauzwa in rolls kwa ajili ya jikoni,hizi hufyonza unyevu nyevu, kisha zifunge kwenye container ambalo halita ruhusu hewa kuingia,halafu ziweke kwenye Friji eneo ambalo lina ubaridi zaidi,

Epuka kuziweka Carrots karibu ma matunda mengine yanayoproduce ethylene gas,kama vile ma Apple.
 
Kwenye fridge unaweka kwenye ile drawer haziharibiki wala kulegea hata mwezi. Kama hazitoshi hapo nunua airtight container zifunge na zile kitchen paper towel ziko kama tissue ila kubwa kisha unaweka ndani ya hizo airtight container. Unagonga mwezi bila kuharibika. Containers zipo maduka ya vyombo hakikisha tu ni airtight sio mfuniko unafunguka funguka kirahisi
 
Nina health issue inayonihitaji kula carrot, hoho, vitunguu na spinach on daily basis kama dawa, aidha vibichi, kwenye juisi au vipikiwe ila visiive sana. Lakini napata challenge kutunza hoho na carrot. Spinach hazina shida sababu niliweka kabisa bustani ila hoho na karrot ulimaji wake kinyumbani ni mgumu ndio maana nanunua in bulk kisha kutunza kwenye friji.

Changamoto ninayopata ni zinaharibika sana, yaan hamna tofauti kuziweka kwenye friji au kuziacha nje sababu kote kote tu zinaharibika kwa kutepeta tepeta hivi. Kununua chache ni usumbufu sana ukizingatia ratiba ya kuzitumia.

Wataalam wa jf naombeni somo hapa, nifanyeje niweze kuzitunza zisiharibike, kiasi ninachonunua ni aidha sado 1 hadi 2 kwa carrot na hoho ni karibia sado moja
Weka katika Mifuko n hiyo mifuko uifunge isipitishe hewa ya Barid ya Fridge
 
Zisafishe carrots zako ili kuondoa yale maji "Moisture'' kisha zifunge hizo Carrots kwa kutumia Absorbent Paper ''paper towel'' Kuna karatasi hua zinauzwa in rolls kwa ajili ya jikoni,hizi hufyonza unyevu nyevu, kisha zifunge kwenye container ambalo halita ruhusu hewa kuingia,halafu ziweke kwenye Friji eneo ambalo lina ubaridi zaidi,

Epuka kuziweka Carrots karibu ma matunda mengine yanayoproduce ethylene gas,kama vile ma Apple.
Asante sana mkuu, nitajaribu hii
 
Kwenye fridge unaweka kwenye ile drawer haziharibiki wala kulegea hata mwezi. Kama hazitoshi hapo nunua airtight container zifunge na zile kitchen paper towel ziko kama tissue ila kubwa kisha unaweka ndani ya hizo airtight container. Unagonga mwezi bila kuharibika. Containers zipo maduka ya vyombo hakikisha tu ni airtight sio mfuniko unafunguka funguka kirahisi
Asante sana mkuu
 
Zisafishe carrots zako ili kuondoa yale maji "Moisture'' kisha zifunge hizo Carrots kwa kutumia Absorbent Paper ''paper towel'' Kuna karatasi hua zinauzwa in rolls kwa ajili ya jikoni,hizi hufyonza unyevu nyevu, kisha zifunge kwenye container ambalo halita ruhusu hewa kuingia,halafu ziweke kwenye Friji eneo ambalo lina ubaridi zaidi,

Epuka kuziweka Carrots karibu ma matunda mengine yanayoproduce ethylene gas,kama vile ma Apple.
Ntaelewa kwa picha zaidi namna ya package inavopaswa kuwa
 
Back
Top Bottom