Sahihi kabisaWadau hebu tusaidiane kutoana tongotongo. Wengi wetu tumesomea udereva lakini si kila kitu kuhusu gari na matumizi sahihi tunayafahamu. Basi Leo naomba tupeane hints hapa za jinsi ya kupark kiusahihi gari yako hasa hizi za Automatic.
Mimi hufanya hivi siku zote.
Mguu kwenye brake mpaka gari itaposimama kabisa, then Neutral, then na apply Hand-brake, then Parking.
Je, hii ni njia sahihi? Tupeane madini zaidi wakuu
for automatic transmission cars.Ahsante mkuu wa kambi
Wadau hebu tusaidiane kutoana tongotongo. Wengi wetu tumesomea udereva lakini si kila kitu kuhusu gari na matumizi sahihi tunayafahamu. Basi Leo naomba tupeane hints hapa za jinsi ya kupark kiusahihi gari yako hasa hizi za Automatic.
Mimi hufanya hivi siku zote.
Mguu kwenye brake mpaka gari itaposimama kabisa, then Neutral, then na apply Hand-brake, then Parking.
Je, hii ni njia sahihi? Tupeane madini zaidi wakuu
Nafikiri lugha sahihi inaitwa parking brake.Vp kwa wale ambao handbrake zetu hazifanyi kazi?
Na mm pia nasubilia muongozo wa hili swaliNaomba unichanganulie hapa,vipi wakati wa kutaka kuondoka napo inakuwaje,ina maana utapaswa ukanyage brake,then uweke gear kwenye neutral then uachie handbrake au utaondoka kama kawaida?-Hapa nazungumzia kwa gari iliopaki kwenye kilima pua inaangalia bondeni...
Sina gari lakini nakujibu.Na mm pia nasubilia muongozo wa hili swali
Je anayekanyaga Brake mpk gar ikasimama kisha akaweka PArking gear then handbreak.for automatic transmission cars.
First of all, after the car stops, put it into end gear and then pull up the handbrake. so that the force point of the car is on the handbrake. Then release the foot brake directly, push the gear into P gear.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu azibariki kazi za mikono yako na December uoate chuma ya kukufaa mkuu.Sina gari lakini nakujibu.
Kama unatoa gari kanyaga brake pedal, toa handbrake, weka drive gear or reverse gear kulingana na uelekeo wako then release brake pedal slowly sepa zako.
December nikivuta NDINGA yangu takuwa nishakuwa na abc za safe driving.
Sio sahihi kwasababu the force point ya gari yako inatakiwa iwe kwenye parking brake na sio parking gear.Je anayekanyaga Brake mpk gar ikasimama kisha akaweka PArking gear then handbreak.
Je atakuwa sawa au kakosea mpk aanze na handbreak?
Mi sijawahi fanya aisee, itabidi nianze maana ni kweli kuna mlio wa kugonga huwa nausikia ntapoondoa gari baadaeHayo yanafanyika gari likiwa jipya ndani ya miezi 6 ya kwanza.