Ipi ni njia ya upepo/pepo?

Ipi ni njia ya upepo/pepo?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam/Shalom

TAFSIRI YA UPEPO ,WIKPEDIA;

Ni mwendo wa hewa.

Husababishwa na joto la jua.

Hewa ikipashwa joto na jua, hupanuka kuwa nyepesi na kupanda juu hivyo inaacha nafasi ambako hewa baridi zaidi inaingia kuchukua nafasi yake.

Kuna aina nyingi za upepo,

Upepo mkali huitwa DHORUBA.

Ikizunguka ndani yake ni TUFANI.

Na Tufani ikianzia Baharini, ni KIMBUNGA.

Kwa uchache; Kwa kuwa upepo,hutoka sehemu Moja kwenda sehemu ingine,

Ningependa kujua njia ya upepo ni ipi?

Karibuni🙏
 
Kwa cc wavuvi Kuna upepo Aina 3

KASKAZ:
Unatokea kaskazini (north)
Huu unaaNz kuvuma kwanzia mwez wa 10 mpk was 4.

Pia Ana pacha wake anatokea north east anaitwa "matalay kaskaz" (Sea breeze) wote wanapokezana kuvuma
Kuja nchi kavu.

Hasa mchana au jioni
Mara nyingi ngalawa na majahazi husafir na upepo huu kutoka nchi kavu hasa asubuh Kama ni safari ya kurudi nchikavu.

KUSI:
Unatokea kusini (south)
Huu unaaNz kuvuma kwanzia mwez wa 4 mpk was 9.

Pia Ana pacha wake anatokea south east anaitwa "matalay KUSI" (sea breeze) wote wanapokezana kuvuma kuja nchi kavu.

Hasa mchana na jioni
Mara nyingi ngalawa na majahazi husafir na upepo huu kutoka nchi kavu Kama ni safari ya kurudi nchikavu.

UMANDE au MANDE (land breeze ):
Huu unaanza kuvuma 9 usiku mpk alfajir anatokea nchi kavu kuja baharini.

Mara nyingi ngalawa na majahazi husafir na upepo huu kutoka nchi kavu hasa asubuh Kama ni safari ya kwenda baharini.

Dalili zake kwa cc wavuvi huwa tunaskia harufu kutoka nchi kavu hasa ya mchanga na harufu zengine.
 
Ahsante Kwa mchango,

Ila nadhani hujaelewa tofauti kati ya " Njia ya upepo" na " Uelekeo wa upepo".

Ubarikiwe 🙏
 
Salaam/Shalom

TAFSIRI YA UPEPO ,WIKPEDIA;

Ni mwendo wa hewa.

Husababishwa na joto la jua.

Hewa ikipashwa joto na jua, hupanuka kuwa nyepesi na kupanda juu hivyo inaacha nafasi ambako hewa baridi zaidi inaingia kuchukua nafasi yake.

Kuna aina nyingi za upepo,

Upepo mkali huitwa DHORUBA.

Ikizunguka ndani yake ni TUFANI.

Na Tufani ikianzia Baharini, ni KIMBUNGA.

Kwa uchache; Kwa kuwa upepo,hutoka sehemu Moja kwenda sehemu ingine,

Ningependa kujua njia ya upepo ni ipi?

Karibuni🙏
Sasa unataka uanze kuchanganya physics na upako?
 
Back
Top Bottom