When it comes to PDAs HTC ni kiboko ukipata hii kitu latest ni kwamba una computer kwenye mfuko wako....jamani kitu sony erckson Experia x 10 bana!
Hiyo HTC kwenye picha ni HTC Touch HD sio HD7 ni ya zamani nisingekushauri inatumia Windows Mobile 6.5, ambayo Microdsoft wameshaitosa. HD7 ni mpya ina Windows Phone 7 bomba ila kwa bongo utapata shida kupata Apps.
Blackberry nazichukia vibaya sana, interface very poor, ila battery life ipo poa.
Nakushauri utafute simu ya Android kama HTC Desire, Legend, Nexua One, Samsung Galaxy etc.
jamani kitu sony erckson Experia x 10 bana!
Mkuu sijakupata vizuri unaposema hapa bongo atapata shida kupata Apps zake, Mbona mambo yote online unadownload tu.
Windows Phone 7 Apps zinapatikana kwenye official market tu, hauwezi kuinstall kutoka sehemu nyingine, na mpaka sasa hakuna njia ya uhakika ya kulizunguka hilo. Na kwa bongo hauwezi kununua Apps from the market for now.Mkuu sijakupata vizuri unaposema hapa bongo atapata shida kupata Apps zake, Mbona mambo yote online unadownload tu.