Ipi ni nzuri

Ipi ni nzuri

Viper

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2007
Posts
3,666
Reaction score
1,404
Wenzangu mliombele kwenye swala zima la Simu za mkononi Which one i should Choose HTC HD7 Vs Blackberry KAMA USHAWAHI KUTUMIA Zina matatizo gani?

HTC-Touch-HD-7.jpg VS blackberry-bold.jpg
 
me nakushauri htc hd7 ipo shwari kiujumla nimetumia zote ila hyo ndio nimeipenda mkuu huu ni mtazamo wangu
 
HTC ni kiboko when it comes to pdas, lakini hii HTC HD7 angalia hizi reviews, alafu hapo tatizo kwenye picha unalinganisha HTC ambayo ni latest toleo la mbele kuiko hiyo Blackberry ambayo ni ya zamani:- anyway kwa reviews za HTC HD7 angalia hapa HTC HD7 review -- Engadget
 
Ingawaje nina htc ya nyuma kidogo lakini nazikubali sana hizi simu
 
Hiyo HTC kwenye picha ni HTC Touch HD sio HD7 ni ya zamani nisingekushauri inatumia Windows Mobile 6.5, ambayo Microdsoft wameshaitosa. HD7 ni mpya ina Windows Phone 7 bomba ila kwa bongo utapata shida kupata Apps.
Blackberry nazichukia vibaya sana, interface very poor, ila battery life ipo poa.
Nakushauri utafute simu ya Android kama HTC Desire, Legend, Nexua One, Samsung Galaxy etc.
 
Mkuu sijakupata vizuri unaposema hapa bongo atapata shida kupata Apps zake, Mbona mambo yote online unadownload tu.
 
Mkuu sijakupata vizuri unaposema hapa bongo atapata shida kupata Apps zake, Mbona mambo yote online unadownload tu.
Windows Phone 7 Apps zinapatikana kwenye official market tu, hauwezi kuinstall kutoka sehemu nyingine, na mpaka sasa hakuna njia ya uhakika ya kulizunguka hilo. Na kwa bongo hauwezi kununua Apps from the market for now.
 
kuna rafiki yangu aliniambia kuhusu habari ya kutonunua Windows Mobile lakini sijamuelewa , unaweza ukanifahamisha zaidi ina disadvantages gani baada ya kutoswa na microsoft but poa i will go for HTC Desire
 
Back
Top Bottom