CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
we mkare ! congrats
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapenzi ni accident, hutokea popote bila taarifa. Naungana na hao wachangiaji wa hapo juu, kuwa hakuna formula kwenye mambo haya.
Kumekuwa na mijadala mingi ya kuwa ni sehemu gani hasa ambayo unaweza kukutana na mtu ambaye huenda akaja kuwa mke/mume. Katika mjadala huo kumekuwa na misemo mingi baadhi yake ikiwa;
Utakapokutana na mke wako ndipo mtakapoachania (kama ni baa then mtaachania baa)
Mke/Mume mwema hutoka kwa Mungu nk.
Katika mapinduzi ya teknolojia nayo yameibua njia nyingine mpya ya kukutana kwa watu na baadae kuanzisha mahusiano, MTANDAO. Njia hii imekuwa inasemwa sana kwamba mahusiano yake huwa hayaaminiki sana (Dhana hii imewekwa na wahusika wenyewe) Hivyo kusababisha mahusiano mengi yanayoanzishwa na njia hii kuwa ya muda mfupi or "oneoff"
Sasa hebu tuambizane kidogo kwa mitizamo yetu ni wapi hasa au njia ipi ukikutana na mtu huko then anaweza kuwa mume/mke mwema.....
mimi wa jf ndo nitamkubali...
kwingine hapana
Mh wengine tunaishi maeneo yasiyo na bustani zaidi ya zile zilizoko majumbani kwetu, sasa hapo inakuwaje?Hi JF members,
Sehemu nzuri ya kukutana na mke/mume ni popote pale. Mke/Mume anatoka kwa Mungu. Hivyo kwa kuwa suala la mke/mume ni mpango wa mwenyezi MUNGU, Mungu anaweza kuwakutanisha popte pale mfano katika Bustani!