Inategemea na eneo na wakati. Nikiwa nyumbani sana sana kusikiliza mziki huku nikifanya vitu vingine vyepesi vyepesi kama kuchora, kuandika. Lakini pia nikiwa na muda wa kutosha huwa napenda kwenda mbali na makazi ya watu maporini huko nakaa huku nikifikiria mambo tofauti tofauti.
Hello every body,
Moja kwa moja kwenye mada,kila mtu amekuwa akipumzishe mwili na akili kwa jambo ambalo ataona linampa furaha na kumsahaulisha machungu yote katika kutafuta riziki.
Kwa upande wangu huwa napendelea sana kucheza PlayStation kwa sababu nimekuwa nikipenda kucheza games kwa muda mrefu sana na hii imepelekea kununua PS 3 kwa ajili ya kucheza nikiwa home individually au pia nikiwa na machalii zangu.
vipi kwa upande wako ni starehe gani unapenda kufanya for enjoyment??
Unapenda game gani?Hello every body,