Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 3,338
- 6,327
Hello every body,
Moja kwa moja kwenye mada,kila mtu amekuwa akipumzishe mwili na akili kwa jambo ambalo ataona linampa furaha na kumsahaulisha machungu yote katika kutafuta riziki.
Kwa upande wangu huwa napendelea sana kucheza PlayStation kwa sababu nimekuwa nikipenda kucheza games kwa muda mrefu sana na hii imepelekea kununua PS 3 kwa ajili ya kucheza nikiwa home individually au pia nikiwa na machalii zangu.
vipi kwa upande wako ni starehe gani unapenda kufanya for enjoyment??