Huu utani hata mvuta bangi hafanyi. Wewe ni vipi aiseeStarehe yangu Mungu na shetani wafungiwe kwenye uwanja mmoja wadundane ngumi bila kutumia silaha.
Raha yangu itazidi pale nitakapoona mmoja akitafuta njia ya kuchoropokea
Ya pili ni kuwa karibu na Extrovert ๐๐๐Starehe yangu ni kuwa na pesa/dough hata nisipozitumia ila raha ya kuziona tu whether cash at hand am Bank nakua relaxed. Ila sasa ndiyo sina kabisa๐ค
Oyaa! Acha utani..!Wadau natumai nyote ni wazima wa afya, ningependa tujuzane kila mmoja ashare nasi starehe yake ni ipi ili kuwapa watu nafasi ya kujua starehe ni nini.
Binafsi starehe yangu ni kuiona familia yangu ina furaha na inapata mahitaji yote ya msingi.
Tufunguke wadau,
๐๐๐๐Huu utani hata mvuta bangi hafanyi. Wewe ni vipi aisee