wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Starehe yangu ni kuwa na pesa/dough hata nisipozitumia ila raha ya kuziona tu whether cash at hand am Bank nakua relaxed. Ila sasa ndiyo sina kabisa[emoji848]
Kuna thread uliandika starehe yako pendwa ni kunya mkuu,naoma umebadilisha kwny thread hii mkuu.