Hongera mkuu.Starehe yako ni nzuri.tunashare hiyo starehe.Ila mimi napenda sana kulala.Wadau natumai nyote ni wazima wa afya, ningependa tujuzane kila mmoja ashare nasi starehe yake ni ipi ili kuwapa watu nafasi ya kujua starehe ni nini.
Binafsi starehe yangu ni kuiona familia yangu ina furaha na inapata mahitaji yote ya msingi.
Tufunguke wadau.