Ipi ni starehe yako

Ipi ni starehe yako

Wadau natumai nyote ni wazima wa afya, ningependa tujuzane kila mmoja ashare nasi starehe yake ni ipi ili kuwapa watu nafasi ya kujua starehe ni nini.

Binafsi starehe yangu ni kuiona familia yangu ina furaha na inapata mahitaji yote ya msingi.

Tufunguke wadau.
Hongera mkuu.Starehe yako ni nzuri.tunashare hiyo starehe.Ila mimi napenda sana kulala.
 
1. NGONO ZEMBE
2. CHABO
3. NYETO
[emoji854][emoji854][emoji854]
 
Wadau natumai nyote ni wazima wa afya, ningependa tujuzane kila mmoja ashare nasi starehe yake ni ipi ili kuwapa watu nafasi ya kujua starehe ni nini.

Binafsi starehe yangu ni kuiona familia yangu ina furaha na inapata mahitaji yote ya msingi.

Tufunguke wadau.
Kina tofauti ya starehe na furaha. Yaani kuona familia inapata mahitaji ni starehe,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona Kuna haja ya kupewa tofauti ya starehe na malengo

Anyway music and dance.
 
Back
Top Bottom