Ipi ni timu kali zaidi kati ya Tp mazembe na fc Vita za Congo?

TANZANNIA

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
1,047
Reaction score
385
Naomba mnisaidie kujua ipi timu kali zaidi ya mwenzie kati ya TP Mazembe na Vita za Congo!?
 
Kwenye ligi ya kwao msimu huu walitoa sare ya 0 - 0. Na pia baada ya michezo 14 ya ligi wamefungana kwa points, wote wapo nyuma ya kinara wa ligi kwa pointi 1. Naona kama wako level moja tu.

As Vita ni timu ngumu sana.
Wana kilasifa ya kuwa wababe wa Congo.
 
Kwenye ligi ya kwao msimu huu walitoa sare ya 0 - 0. Na pia baada ya michezo 14 ya ligi wamefungana kwa points, wote wapo nyuma ya kinara wa ligi kwa pointi 1. Naona kama wako level moja tu.
Pamoja na simba kumfunga as vita lakini simba anashika nafasi ya 14
 
Utopolo watasema ya hovyo wakati walikuwa wanasifiana kwenye thread inayosema haha ndo yatayosemwa na madhabiki wa Simba baada ya mechi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…