Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vita ni club bora kabisa nchini Congo.Naomba mnisaidie kujua ipi timu kali zaidi ya mwenzie kati ya tp mazembe na Vita za Congo!?
Pamoja na simba kumfunga as vita lakini simba anashika nafasi ya 14Kwenye ligi ya kwao msimu huu walitoa sare ya 0 - 0. Na pia baada ya michezo 14 ya ligi wamefungana kwa points, wote wapo nyuma ya kinara wa ligi kwa pointi 1. Naona kama wako level moja tu.