mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Abaki na mke wake ,mama ataendelea kuwa mama hadi Kifo hakuna mbadala!Wote tunafamilia tumetokea na wengi tumeunda familia zetu , swali wewe ipi familia yenye kipaumbele kwako inapotokea mgongano wa mambo, hili nauliza kisa rafiki yangu anadai yupo tayari kuvunja ndoa na mke wake kisa mama yake na watoto wa mdogo wake ,ni stori ndefu sana kuisimulia ila kwa mgogoro ulipofika jamaa anatakiwa kuamua abaki na mama au abaki na mke , kubaki na mama anakuwa safe kwenye familia yake, ila watoto wanapoteza haki ya kulelewa na wazazi wote kwa pamoja
Mke wako siyo ndugu yako, watoto wako ndio ndugu zako, vijana wa sasa hamna akili kichwani.Wote tunafamilia tumetokea na wengi tumeunda familia zetu , swali wewe ipi familia yenye kipaumbele kwako inapotokea mgongano wa mambo, hili nauliza kisa rafiki yangu anadai yupo tayari kuvunja ndoa na mke wake kisa mama yake na watoto wa mdogo wake ,ni stori ndefu sana kuisimulia ila kwa mgogoro ulipofika jamaa anatakiwa kuamua abaki na mama au abaki na mke , kubaki na mama anakuwa safe kwenye familia yake, ila watoto wanapoteza haki ya kulelewa na wazazi wote kwa pamoja
Familia muhimu ni ile unayoijenga mwenyewe kwako na watoto wako, wazazi wako walishaishi ya kwao.Wote tunafamilia tumetokea na wengi tumeunda familia zetu , swali wewe ipi familia yenye kipaumbele kwako inapotokea mgongano wa mambo, hili nauliza kisa rafiki yangu anadai yupo tayari kuvunja ndoa na mke wake kisa mama yake na watoto wa mdogo wake ,ni stori ndefu sana kuisimulia ila kwa mgogoro ulipofika jamaa anatakiwa kuamua abaki na mama au abaki na mke , kubaki na mama anakuwa safe kwenye familia yake, ila watoto wanapoteza haki ya kulelewa na wazazi wote kwa pamoja
Wabongo ni wagumu sana kuelewa somo hili muhimu.Familia muhimu ni ile unayoijenga mwenyewe kwako na watoto wako, wazazi wako walishaishi ya kwao.
Ukikosea utavuna ulichopanda iwe kwenye kuoa/kuolewa au malezi ya watoto wako
Utadhani huyo mtu alimuoa au kuolewa nae ni adui kwakeWabongo ni wagumu sana kuelewa somo hili muhimu.
Yani unakuta mtu yupo kwenye ndoa, ana mke na watoto, halafu akifikiria "familia yangu" anafikiria baba yake na mama yake.
Ni utoto fulani usioisha.
Nilichogundua ni kwamba jamii ya Kitanzania, ingawa si watu wote, lak8ni sehemu kubwa sana ina utamaduni wa kuwindana sana.Utadhani huyo mtu alimuoa au kuolewa nae ni adui kwake