Azoge Ze Blind Baga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 442
- 1,655
Kosa la jinai kutoa namba ya mtu bila ridhaa yakeNipe namba yake...atakuacha mwenyewe
Basi komaa nayeKosa la jinai kutoa namba ya mtu bila ridhaa yake
Kumtumia binti na kumuacha sio kosa? Gawa namba.Kosa la jinai kutoa namba ya mtu bila ridhaa yake
Inaonekana bado unampenda SanaaaaaKosa la jinai kutoa namba ya mtu bila ridhaa yake
Mpe elaKuna mwanamke nipo nae kwenye mahusiano. Ila kwa sasa sina hisia nae kabisa natafuta njia nzuri ya kumpiga chini
Je nimchane simtaki au nimpotezee kimya kimya maana anatuma tuma msg kila muda hadi kero
Wajuvi ipi njia nzuri na ya amani ya kumpiga chini.
Kama yupo serious [emoji23][emoji23][emoji1787]Nipe namba yake...atakuacha mwenyewe
Hahaha "ajikatae" huu msemo unatumika kwetu iringa mtu ale 50 zake [emoji3]Mtu kama humtaki/ umemchoka muambie ajikatae mapema msipotezeane muda.
Punguza mawasiliano taratibu, kama ana akili ataelewa. Shuleni alifundishwa kuwa "akufukuzae hakuambii Toka".
Usimuache, mwambie aijue mipaka yake kama mwanamke tatizo la kumchoka ni kwamba anakutafuta sana yani yuko too desperate. Nakwambia hivi kwa sababu siku akiacha kukutafuta for good ikipita miezi mitatu utamkumbuka alafu istoshe mwanamke ukimuacha anaendaga kua mzuri balaa ili baadae ujutie kumuacha. USIMUACHE ILA MUOMBE SPACE TU.
Nilishawahi mwambia ivo manamke nikamuwona anatype kama dk tano ila akaghairi kutuma akapiga kimya nae