Ipi njia bora ya kuachana na mwanamke?

Ipi njia bora ya kuachana na mwanamke?

Tuliachana nikapiga kimya nae akapiga kimya ila tumerudiana ila yupo na mtu wake akikumbuka show achomoi

[emoji23][emoji23][emoji23] anakutumia ndio maana hakukujibu… amekuweka akiba kuna wa show wa kumpa hela na future husband
 
Kuna mwanamke nipo nae kwenye mahusiano. Ila kwa sasa sina hisia naye kabisa, natafuta njia nzuri ya kumpiga chini.

Je, nimchane simtaki au nimpotezee kimya kimya, maana anatuma tuma ujumbe kila muda hadi kero?

Wajuvi ipi njia nzuri na ya amani ya kumpiga chini?
[emoji23]
20220926_202138.jpg
 
Anza kifanya tabia za hovyo na za kijinga muombe kinyeo ....ila nawaza akikupa sijui itakuaje ...ila akikunyima mwambie mbona wenzio wananipa [emoji23][emoji23] hii itamfanya akuone malaya wa kutupwa na yeye ndio atafanya juhudi kukuacha [emoji16][emoji16]

Ila akikubali utajua mwenyewe hukohuko
 
[emoji23][emoji23][emoji23] anakutumia ndio maana hakukujibu… amekuweka akiba kuna wa show wa kumpa hela na future husband
Nami ndo nilipenda upande wa show maana alileta za kuniweka wa kila kitu nikambadilikia
 
Dah! me sina expirience ya kuacha nina ya kuachana
 
Hiyo ya kumwambia ukweli huwa muda mwingine haileti matokeo chanya coz kuna huyu wangu nlimwambia zaidi ya mara moja tuachane ila hajawahi kuelewa sijui hata nifanyaje??..na jana tu kaniomba hela huwezi amini nimempa coz alikuwa na shida nayo sana naona huruma huwa inaniponza mara nyingi sanaaa.
 
Ukishaona humuhitaji mtu mbona ni rahisi sana kumuacha .... Tatizo linakuja kwa wale ambao hisia zinakataa
 
Hiyo ya kumwambia ukweli huwa muda mwingine haileti matokeo chanya coz kuna huyu wangu nlimwambia zaidi ya mara moja tuachane ila hajawahi kuelewa sijui hata nifanyaje??..na jana tu kaniomba hela huwezi amini nimempa coz alikuwa na shida nayo sana naona huruma huwa inaniponza mara nyingi sanaaa.
Yan Uko kama mimi
 
Kuna mwanamke nipo nae kwenye mahusiano. Ila kwa sasa sina hisia naye kabisa, natafuta njia nzuri ya kumpiga chini.

Je, nimchane simtaki au nimpotezee kimya kimya, maana anatuma tuma ujumbe kila muda hadi kero?

Wajuvi ipi njia nzuri na ya amani ya kumpiga chini?
Mwombe jicho
 
Back
Top Bottom