Ipi njia bora ya kuzuia ujauzito kwa Wanawake?

Ipi njia bora ya kuzuia ujauzito kwa Wanawake?

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
Kuna njia nyingi za kuzuia ujauzito kwa wanawake kati ya zifuatazo:
  • Kutenganisha mirija ya uzazi
  • Kuepuka ngono
  • Kutumia kalenda
  • Njiti
  • Vidonge
  • Condom
Kwa wataalamu wa maswala ya uzazi njia ipi inayotumika zaidi?
 
Kuna njia nyingi za kuzuia ujauzito kwa wanawake kati ya zifuatazo:
  • Kutenganisha mirija ya uzazi
  • Njiti
  • Vidonge
  • Condom
Kwa wataalamu wa maswala ya uzazi njia ipi inayotumika zaidi?
1661716419732.png


Mmea wa mzugwa una flush kila kitu out. Baada ya hilo tendo, tumia mzungwa majani yake andaa kama juisi, kunywa glasi 1 kwa siku 3. Lugha ya kisayansi unaitwa Plectranthus barbatus
 
Hizo tatu ulizoorodgesha ndio zinawafanya vijana wa 1980 kurudi nyuma kujiona wana akili nyingi kuzidi vijana wa . com
 
Kalenda& condom, are the best ways, kulko hizo njia zingine ambazo madhara yake madactari uchwara hawataki kuwambien

Mimba nyingi kuharibika, utasa, utungwaji wa mimba nje ya kizazi, watoto kuzaliwa wagonjwa ama wasio na akili timamu, yote hayo ni matokeo ya matumizi ya hizo njia ambazo si sahihi kwa kuzuia mimba.
 
Back
Top Bottom