Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MKuu, salaam. Naweza kupata mawasiliano yako?Mkuu,njia rahisi ni kuwa na mfumo wa Computer ambao unaingiza Openning iinventory yako,Kisha unakuwa unaupdate kila ikifika 25%Yaani mfanyakazi anaendelea kutumia daftari na wewe unachukua rekodi za daftari unaingiza kwenye program.
Kisha kwenye Program Unakuwa ua update kila inventorry yako inapofika 10% au 25% a ili isivuke hapo kwani unaweza kuibiwa bila kujua.Ila vile bdhaa ambazo zinaenda kwa fasta basi Unaweza kuwa unafanya update kila siku.
Kama uko interested ni PM aina ya biashara yako na ninaweza kukusaidia kufanya hio kazi remotely na kwa urahisi na unafuu.Nitakupatia Sales report na utakuwa na access yako online.
Karibu