Ipi nzuri kati ya Crown Athletes grs200 na Mercedes Benz C200 Compressor

Ipi nzuri kati ya Crown Athletes grs200 na Mercedes Benz C200 Compressor

Habari wakuu wenye uzoefu na hizo gari mbili ipi iko vizuri ?!

Inategemea unataka nini kwenye gari, kama ni comfortability na urahisi wa maintenance kwa kiasi fulani crown ni zaidi.

Stability barabarani na overall safety, Benz ndiyo yenyewe.

Ulaji wa mafuta hazitofautiani sana tho c class nyingi zina engine ndogo 1800cc vs 2500cc ya crown (base model)
 
Chukua benz c class yenye cc 1700
IMG_8910.jpg

IMG_8909.jpg

IMG_8907.jpg

IMG_8908.jpg

IMG_8906.jpg

IMG_8911.jpg
 
Chukua Crown kwa sababu zifuatazo:

1. Inachanganya haraka kuliko Compressor ingawa Compressor inatop speed kubwa ya 260 na Crown 180, 260 kwa road zetu ni mgumu kutembea speed hiyo.

2. Comfortability kati ya Crown na Compressor hazitofautiani sana tena kwa lower models Crown in comfortable zaidi.

3. Spare part za gari zote zinapatikana , spare part za crown bei ipo chini kidogo ukilinganisha na Compressor.

4. Crown ipo more reliable kuliko Compressor muda wowote unaweza safiri popote ..
 
Habari wakuu,

Wenye uzoefu na hizo gari mbili ipi iko vizuri?

Kama huna gari nyingine mkuu chukua crown
Unachelewa sana karibu kene chama,
Huku ni sherehe tu safari popote[emoji28]
Crown Utapata kila kitu kene sedan

Crown 2008 vs C -Class 2008

Budget inakuruhusu vizuri na una gari nyingine za back up yes go for Mercedes upate radha ya kijerumani
 
Kama huna gari nyingine mkuu chukua crown
Unachelewa sana karibu kene chama,
Huku ni sherehe tu safari popote[emoji28]
Crown Utapata kila kitu kene sedan

Crown 2008 vs C -Class 2008

Budget inakuruhusu vizuri na una gari nyingine za back up yes go for Mercedes upate radha ya kijerumani
nina crown grs200 ya 2010, Aloo hii chuma ni levels unyama mwingi mnoo
 
Back
Top Bottom