John Shasha
Member
- Sep 19, 2022
- 6
- 7
Inawezekana crown ambayo Haina sun roof kuiwekea sun roof?Kama huna gari nyingine mkuu chukua crown
Unachelewa sana karibu kene chama,
Huku ni sherehe tu safari popote[emoji28]
Crown Utapata kila kitu kene sedan
Crown 2008 vs C -Class 2008
Budget inakuruhusu vizuri na una gari nyingine za back up yes go for Mercedes upate radha ya kijerumani