Ipi nzuri kati ya Crown Athletes grs200 na Mercedes Benz C200 Compressor

Inawezekana crown ambayo Haina sun roof kuiwekea sun roof?
 
I
Ngoja tuchukue nondo kisha nikanunue kibubu nianze weka buku 5 tano
Itakuchukua kama miaka10 kununua gari ya 18m na wakati huo buku5 siyo ela tena, ni kachenji
 
💀💀
 
Attachments

  • IMG_6807.jpeg
    514.2 KB · Views: 11
  • IMG_6806.jpeg
    507.4 KB · Views: 9
  • IMG_6803.jpeg
    531.2 KB · Views: 10
  • IMG_6804.jpeg
    509.5 KB · Views: 9
  • IMG_6808.jpeg
    348.2 KB · Views: 11
  • IMG_6805.jpeg
    347.5 KB · Views: 9
Chukua Benz, hachana na ilo kopo la kijapan!
 
Ni Tanzania pekee unakuta Mercedes Benz inafananishwa na gari nyingine...Ugali ulitudumaza sana.
 
Ni Tanzania pekee unakuta Mercedes Benz inafananishwa na gari nyingine...Ugali ulitudumaza sana.

Hii generalisation haina msaada. Haimaanishi kwamba gari zote alizotengeneza mzungu ni better kuliko za mjapani. Kuna baadhi ya gari ambazo ni japanese na ziko poa.​
 
Hii generalisation haina msaada. Haimaanishi kwamba gari zote alizotengeneza mzungu ni better kuliko za mjapani. Kuna baadhi ya gari ambazo ni japanese na ziko poa.​
Mercedes Benz ni moja ya gari bora sana sijazungumzia uzungu wala ujapani hapo...
 
Moja kwenye kona lazima upunguze spidi hasa ukiwa 100, nyingine inaweza ukalala nayo.
Hakikisha crown hauweki brake za mbwa, mtaserereka wote hasa ukiwa spidi kubwa na unataka kupiga brake za dharura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…