Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Point si Mtk ama Snapdragon point ni kuuziwa Helio p22 ama soc zifananiazo.China plazza na wewe umeona umemaliza.mitaji ya simu usichukulie poa alafu kama unauza simu ambayo sio toleo la pili,model kwa ajili watu washike simu mfano kama samsung A series,chip isiyo na garama .
Simu inayotumia chip kama qualcomm,snapdragon,intel,hisilicon
Bei yake kidogo imechangamka sana ukilinganisha MTK
Na zipo simu kibao zenye snapdragon nzuri kwa bei nafuu mfano redmi note 8.
Kuhusu China plaza lile ni Duka official la kampuni aka show room yao simu za pale ndo hizo hizo utakazokuta mtaani, unless una ushahidi mwengine mzito kwamba zile simu zao kali zipo mtaani.