Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

Point si Mtk ama Snapdragon point ni kuuziwa Helio p22 ama soc zifananiazo.

Na zipo simu kibao zenye snapdragon nzuri kwa bei nafuu mfano redmi note 8.

Kuhusu China plaza lile ni Duka official la kampuni aka show room yao simu za pale ndo hizo hizo utakazokuta mtaani, unless una ushahidi mwengine mzito kwamba zile simu zao kali zipo mtaani.
 
Simu za kali na bei uwezi kuziuza haraka na waelewa wa simu ni wachache kwenye manunuzi.unakuta mtu kaona tecno au infinix laki 3 alafu oppo ya kawaida tu laki nne kinacho fata
 
Simu za kali na bei uwezi kuziuza haraka na waelewa wa simu ni wachache kwenye manunuzi.unakuta mtu kaona tecno au infinix laki 3 alafu oppo ya kawaida tu laki nne kinacho fata
Xiaomi Hana hata Maduka anauza tu online lakini ni wa Tatu Duniani kwa mauzo. Hata Hapa Tz kuna Watu kibao wana xiaomi hali ya kuwa wamenunua tu online, same kwa oneplus.

Ukiwa na kitu kizuri automatic Watu watanunua na ukiwa na kitu kibaya utahitaji matangazo ya kutosha, kipaka rangi majengo, tv, redio etc.
 
Hakika chief xiaomi sio wa kawaida kabisa mzee, hapa kwa sasa nina simu zao mbili tv yao, saa yao ile haylou solar l05 jana nimepokea bag yangu ya xiaomi ndio balaa kabisa, nimeplace oda ya vitu vyao vingine kifupi wanajua, siku ya kwanza tu kushika product yao mika ile nikajikuta naanzisha uzi wa xiaom kabisa kaka
 
Kwani Hakuna iPhone za laki 4 ..
 
Ngosha kwenye ubora wako
 
TV yao umenunua online?
 
Inategemea ni Xiaomi ipi. Xiaomi ya laki 3 kma akina Redmi 8a ni kma Infinix tu. Xiaomi kuanzia Note series kuendelea ndio zipo vizuri. Izo akina Redmi 8a / 9a bora ununue Nokia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
simu gani naweza agiza ambayo haizidi laki 2 ya Xiaomi
 
Inategemea ni Xiaomi ipi. Xiaomi ya laki 3 kma akina Redmi 8a ni kma Infinix tu. Xiaomi kuanzia Note series kuendelea ndio zipo vizuri. Izo akina Redmi 8a / 9a bora ununue Nokia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuanze tu kuichambua simu ndogo kabisa ndani ya series ya 7 ( redmi 7a) inalingana performance na tekno ipi au itel ata hio chip ya mtk iliotumika ndani ya series ya 9 ( kina redmi 9a , 9c ) bado ni bora kwa ufanisi wa matumizi kuliko tekno yoyote niliowahi kuiona hasa kwa watu wasio super user
 
Inategemea ni Xiaomi ipi. Xiaomi ya laki 3 kma akina Redmi 8a ni kma Infinix tu. Xiaomi kuanzia Note series kuendelea ndio zipo vizuri. Izo akina Redmi 8a / 9a bora ununue Nokia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Xiaomi ya laki 3 ni redmi 9 (bila A) ina helio G80 yenye nguvu ya kutosha tu kushinda almost simu zote za hio budget.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…