Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Mbingu na Ardhi mkuu.Asante sana, naomba kujua kuhus Samsung A12, compared na hii Redmi?
Hakika chief xiaomi sio wa kawaida kabisa mzee, hapa kwa sasa nina simu zao mbili tv yao, saa yao ile haylou solar l05 jana nimepokea bag yangu ya xiaomi ndio balaa kabisa, nimeplace oda ya vitu vyao vingine kifupi wanajua, siku ya kwanza tu kushika product yao mika ile nikajikuta naanzisha uzi wa xiaom kabisa kaka
BontelHawa jamaa wa infiniix, tecno, itel, kgtel, X-Tigi & co. Sijui tuwaambie vipi watuelewe[emoji53][emoji53][emoji53]
Hiyo redmin note 8 iko sawa sanaPoint si Mtk ama Snapdragon point ni kuuziwa Helio p22 ama soc zifananiazo.
Na zipo simu kibao zenye snapdragon nzuri kwa bei nafuu mfano redmi note 8.
Kuhusu China plaza lile ni Duka official la kampuni aka show room yao simu za pale ndo hizo hizo utakazokuta mtaani, unless una ushahidi mwengine mzito kwamba zile simu zao kali zipo mtaani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngosha kwenye ubora wako
Duuuh mkuu umetoa boko...Mkuu, kwa taarifa yako tu na wengineo, OPPO ni ya India na sio China, Ova
Mkuu hiyo simu kweli inasumbua kwenye matumizi yakeuliuziwa fake one! or defective one.
Unaizungumziaje motorola g 8/9 power, ukilinganisha na samsung m31/51Mbingu na Ardhi mkuu.
Hawa Samsung baada ya Huawei kutoweka wamepunguza specs low end zote, kifupi A12 imepitwa Nguvu hadi na galaxy A10.
Redmi note 9s ina nguvu kama mara 3 ya A12, mwenzake 9s ni Hii galaxy mpya inayokuja ya A52.
G8/G9 ni kama poco m3 tu, specs za kawaida sana Ila zinakaa na chaji.Unaizungumziaje motorola g 8/9 power, ukilinganisha na samsung m31/51
Overall hasa kwenye kukaa na charge muda mrefu???
Ooooh asante, so hii m51 price tag yake ni kma 1m za kibongo, je kuna simu yyte inaizidi ubora kwnye hyo bei???G8/G9 ni kama poco m3 tu, specs za kawaida sana Ila zinakaa na chaji.
M31 Pia specs za kawaida.
M51 ni habari nyengine ina display kali, processor nzuri na chaji inakaa.
Kuhusu ukaaji chaji ni baina ya M51 na G9, G9 ipo vizuri zaidi kwenye web browsing na M51 ipo vizuri zaidi kwenye video playback, overall M51 kwa kiasi kidogo sana inakaa na chaji, ni kama draw hivi.
Angalia test ya gsmarena hapa
Mpinzani wa karibu ni hii Galaxy F62 iliotoka Karibuni.Ooooh asante, so hii m51 price tag yake ni kma 1m za kibongo, je kuna simu yyte inaizidi ubora kwnye hyo bei???
Mpinzani wa karibu ni hii Galaxy F62 iliotoka Karibuni.
Bei ganiNina kisound bar chao though kilinicost sana mpaka kukipata ila kina sound poa hatari
Bei gani
Kwa sasa ni Xiaomi redmi note 9s.Oooh sawa
Binafsi nataka simu ya kukaa na charge sanaaa hasa upande wa web browsing
Camera kali
Na yenye speed nzuri upande wa network
Ram 6gb
Na iwe inasupport micro card slot
Kwa bajeti ya 550000
Unashauri simu gani??
Uliowaonesha invoice ulionunulia?Kilikuwa kinauzwa kma usd 60 hvi ila sababu seller alikuwa haship huku mitano tena, ikabidi tufoward usa kwanza, aloo hapa ndo majanga yalipoanzia, wa usa wakutuma kupitia fedex ambapo usafiri tu ilikuwa kma usd 55, na bdo kufika jiji la ilala nikalambwa laki ya kodi mamaeeeeee
Asante, ngoja nisubiri hiyo Redmi note 10Mbingu na Ardhi mkuu.
Hawa Samsung baada ya Huawei kutoweka wamepunguza specs low end zote, kifupi A12 imepitwa Nguvu hadi na galaxy A10.
Redmi note 9s ina nguvu kama mara 3 ya A12, mwenzake 9s ni Hii galaxy mpya inayokuja ya A52.