Ipi nzuri kati ya Kluger na Forester?

Bro kuluga haipo kwenye orodha ya gari kumi imara...inakuwaje gari yakazi na ngumu kuliko forester...umekariri
Mtoa mada upo vizuri Kwenye kuchagua Magari kwasabb hayo Magari yote hapo yapo vizuri Sana....
Ila Kwangu Mimi nakushauri kluger(kama unataka gari ya kazi na ngumu)
kama MTU wa showing off za mjini nenda na foresta
 
Reactions: apk
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…