Wa Katutura
JF-Expert Member
- May 5, 2019
- 366
- 450
kweli ww ktk Subaru ni kile kiti tuu,kiila mada lzm uulizie kero yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1690]Kile kiti cha dereva cha Subaru ni msalaba![emoji124][emoji124][emoji124]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli ww ktk Subaru ni kile kiti tuu,kiila mada lzm uulizie kero yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1690]Kile kiti cha dereva cha Subaru ni msalaba![emoji124][emoji124][emoji124]
Asante kiongoziUtachukua Kluger ili uje kunishukuru baadae
Kivipi?Kile kiti cha dereva cha Subaru ni msalaba!🚶🚶🚶
Kivipi?
Hata new model xt kiti cha kiboyaHuyu nahisi anazungumzia old model kile kiti kimezama unakua unadumbukia kama boat.
Dah kumbe.Hata new model xt kiti cha kiboya
Umeiandika ki ngosha kulugaNaipa kura Kuluga.
Unaweza kusafiri kutoka Dar to Mwanza ukiwa umekaa kwenye kiti ambacho kimebonyea ndani kiasi kile?Kivipi?
Cha kiboya siwezi kaliaUnaweza kusafiri kutoka Dar to Mwanza ukiwa umekaa kwenye kiti ambacho kimebonyea ndani kiasi kile?
Habari wakuu,
Naomba kuuliza kati ya Toyota Kluger na Subaru Forester ipi ni nzuri zaidi kwa kuzingatia uwezo wa engen, uimara wa gari na vitu vingine vya muhimu.
View attachment 1823003
Mtoa mada upo vizuri Kwenye kuchagua Magari kwasabb hayo Magari yote hapo yapo vizuri Sana....
Ila Kwangu Mimi nakushauri kluger(kama unataka gari ya kazi na ngumu)
kama MTU wa showing off za mjini nenda na foresta
Sio uongo Kluger haija kaa mkao ulio changamka,ila new model yake kwa jina jingine ni HIGHLANDER ipo vzr sanaKluger imekaa kizee
ForesterHabari wakuu,
Naomba kuuliza kati ya Toyota Kluger na Subaru Forester ipi ni nzuri zaidi kwa kuzingatia uwezo wa engen, uimara wa gari na vitu vingine vya muhimu.
View attachment 1823003
Kluger 2350cc kupanda juu (petrol) ni maumivu kwa wanyonge.Umeiandika ki ngosha kuluga
Vijana wa Chuga hawajuagi magari mazuri. Wao hufata mkumbo wa NairobiCha kiboya siwezi kalia
Ya kindeziDah kumbe.
Mjomba Bighorn ipoje?Ya kindezi
Bighorn iko freshiMjomba Bighorn ipoje?
Kuna moja la 1998 limekaa poa Sana. Na Bei SI mbaya japo 3100cc diesel.Bighorn iko freshi
Highlander na kluger ni gari moja boss sema highlander ni kwaajili ya soko la ulaya na America na wala sio new model. Ni kama harrier old model na Lexus rx300 old. AsanteSio uongo Kluger haija kaa mkao ulio changamka,ila new model yake kwa jina jingine ni HIGHLANDER ipo vzr sana