Ipi nzuri kati ya Kluger na Forester?

Ipi nzuri kati ya Kluger na Forester?

Memtata

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
587
Reaction score
1,863
Habari wakuu,

Naomba kuuliza kati ya Toyota Kluger na Subaru Forester ipi ni nzuri zaidi kwa kuzingatia uwezo wa engen, uimara wa gari na vitu vingine vya muhimu.

PSX_20210618_200806.jpg
 
1) Siyo kwel best. Subaru kwenye Fuel consumption inakula sana vs cluger.
2) Sparepart Subaru zipo juu sana compared to cluger
3) Ukipata changamoto ya uchumi kuyumba basi tambuwa ukitaka kuuza Cluger inauzika haraka sana (2wd) kuliko subaru forester(4wd full time)
4) appearance ya subaru ipo vizur kuliko cluger when you compare the same model year e.G. Cluger 2006 na Subaru Forester 2006
 
Subaru za kazi ni zile toleo la 2004-2007.
Lkn hizi new model ni nyanya Tu
 
1) Siyo kwel best. Subaru kwenye Fuel consumption inakula sana vs cluger.
2) Sparepart Subaru zipo juu sana compared to cluger
3) Ukipata changamoto ya uchumi kuyumba basi tambuwa ukitaka kuuza Cluger inauzika haraka sana (2wd) kuliko subaru forester(4wd full time)
4) appearance ya subaru ipo vizur kuliko cluger when you compare the same model year e.G. Cluger 2006 na Subaru Forester 2006
Ubarikiwe mkuu
 
Hapo kwenye mafuta mzee subaru zina 1990cc na Kluger ni 2360cc. Sasa consumption ya subaru inazid vipi?

Kwenye kuuza hyo ya 4wd na 2wd sijaelewa unamaana gani effect iko wapi kwenye 2wd na 4wd provided engine cc ziko pale.
Nakuelewa kidogo kwenye spare parts.
 
Labda kwasababu Subaru ni 4WD muda wote
 
Hapo kwenye mafuta mzee subaru zina 1990cc na Kluger ni 2360cc. Sasa consumption ya subaru inazid vipi?

Kwenye kuuza hyo ya 4wd na 2wd sijaelewa unamaana gani effect iko wapi kwenye 2wd na 4wd provided engine cc ziko pale.
Nakuelewa kidogo kwenye spare parts.
Mkuu cc ni sehemu tu, ila ulaji wa mafuta una mambo mengi zaidi ya cc za engine. Subaru ina AWD ndio inayosababisha ile mafuta zaidi japo sio kivileee kama watu wasemavyo.
 
Back
Top Bottom