Ipi pikipiki imara na madhubuti kati ya Boxer 150 na TVS HLX 150?

rama halavi

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2015
Posts
269
Reaction score
236
Habarini za mchana wadau, Natumai mko poa na mnaendelea na harakati za kutafuta maendeleo.
Wadau nahitaji kwa mwenye uzoefu kuhusu pikipiki anisaidie kuchagua kati ya boxer 150 na Tvs hlx 150. Nahitaji kujua ipi ni bora kibiashara na uimara kwa hapa mjini maana nafikiria kununua pikipiki kwa ajili ya biashara ya bodaboda na pia kuitumia kama usafiri wa kunipeleka na kunirudisha nyumbani pindi ninapotoka katika shughuli zangu. nataka niwe nampa mtu diewaka siku nzima halafu jioni naondoka nayo mwenyewe na kumpa tena siku inayofuata.

Natanguliza Shukran Zangu
 
Tvs
 
TVS HLX 150 ni ngumu sana huwezi zikuta zimeharibika kiurahisi, usipojali bei ghali ya spea zake basi mostly ni genuine!!...
Na umesema ni kwa matumizi yako binafsi basi chukua TVS HLX 125 inaenda Km 65-70 kwa lita moja fikiria umesave kiasi gani!!!!...
 
Shukran kiongozi kwa maelezo yako
 
Biashara ya bodaboda nayo iko na changamoto nyingi,hasa kama unampa my hiyo pikipiki. Hivyo fanya na kautafiti kidogo walau upate ABC ili usije kujuta kesho.
 
TVS HLX 150 ni ngumu sana huwezi zikuta zimeharibika kiurahisi, usipojali bei ghali ya spea zake basi mostly ni genuine!!...
Na umesema ni kwa matumizi yako binafsi basi chukua TVS HLX 125 inaenda Km 65-70 kwa lita moja fikiria umesave kiasi gani!!!!...
Kwahio ltr 5 unafika Moro toka Dar kiroho safi
 
Biashara ya bodaboda nayo iko na changamoto nyingi,hasa kama unampa my hiyo pikipiki. Hivyo fanya na kautafiti kidogo walau upate ABC ili usije kujuta kesho.
Shukran ndugu hebu ngoja nifanye kautafiti kidogo
 
IMG-20160312-WA0023.jpg
 
I would vouch for TVS.

Hawa wahindi washenzi sana lakini. Hizi boker na hlx hawatumii nchini kwao, wanatuuzia Afrika tu.
 
Back
Top Bottom